Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu hii picha yako
mbona hujafuta haraka, humu naona ukiweka picha basi unaitoa haraka sana,
Unaweza kuibadili hali hiyo kwa wewe kuanza kuweka picha yako na kuiacha bila kuifuta. Muda si muda watu wataiga mfano wako na trend hiyo itabadilika.

Usiishie kulalamika tu. Be the agent of change...and the change starts with you.

Haya selfika sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…