Nimerithi kabisa yaani.
Kagiza kakianza kuingia ukitaka kuja kwangu hamna haja ya kuniuliza kama nipo maana ni lazima niwepo na milango yote nimefunga.
Hivi viwanja sivijui hata vinafananaje yaani. Nikisema leo sipiki acha nikachome kuku au pizza nikifika namwambia funga kabisa
hapo naenda kulia nyumbani.
Basi wananisemaga ila ndio hivo sibadiliki yaani wameishia kuniita "mama mchungaji"