[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nilitaka nishangae hapo shos angu utoke humu unaenda wapi sasa, lolSio mimi...kuna memba aliaga humu ndio tukawa tunamuuliza kulikoni..
Weeeeeehhh Mimi Sitoki jf leo wala kesho...nipo sanaaa
Upole wenu ujulikane kwa watu wote.. Bwana yu karibuNa kweli, kwetu kwenye dini tunashauriwa kufurahi.View attachment 2083538
Mhh!Najua vizuri mbona sema experience zinatofautiana. Kwa experience yangu kuna uhuru fulani unalazimika kuuacha! Otherwise itakua ndoano
Hazishibishi hizoUnashiba kweli???
Kweli kabisa.Mhh!
Hahahaaa..hata Hujanikaribisha walau nionje tu! Vibaya hivooHazishibishi hizo
Hata usijar,Fanya hivo asee!
Bado nipo sana shoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nilitaka nishangae hapo shos angu utoke humu unaenda wapi sasa, lol
Ndo ukweli wenyewe, limitations nyingi mno. Aaaaah.Najua vizuri mbona sema experience zinatofautiana. Kwa experience yangu kuna uhuru fulani unalazimika kuuacha! Otherwise itakua ndoano
Nakumiss mno shos angu. [emoji7][emoji7]Bado nipo sana shoo
π€£π€£π€£π€£π€£! Noma sanaNdo ukweli wenyewe, limitations nyingi mno. Aaaaah.
Ila mtindo wa kuviziwa sio mzuri, yaan mtu anatoka sehem X anakuja sehemu Z hakupi taarifa, mtu unaenda kwa mchepuko uko njian hata hujafka unapigiwa cm "nipo hapa home mlango umefungwa uko wapi?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndoa jamani weeeeh
Natafuta package nyingine kwa ajili yako usijaliHahahaaa..hata Hujanikaribisha walau nionje tu! Vibaya hivoo
Acha ukuda cha mdeko.navaa 37.ninunulie kama hiki basiUnavaa namba ngapi kiatu???
Nimeona mguu mdogo mnoπππππππ.Acha ukuda cha mdeko.navaa 37.ninunulie kama hiki basi
View attachment 2083639
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji56][emoji56][emoji847][emoji847]
Ni zile purukushani za ulastborn kutaka attention.
[emoji91][emoji91]