Selfika na JF: Snap it. Show it

Hangamaga nzunone. Εͺnamhale mpaga Ε«sache lino lΔ«mo gΕ«tΔ«lyangΔ«lΔ« [emoji1545][emoji1545]

Halafu kobaga ganΔ«kΔ« gape galipu gidakwitale Ε«tole. Δͺmyaka yaselemaga nkoi.
Ganike gape

Galipu galenidako[emoji1787]

Haki wanyantuzu Nyoko sana[emoji3][emoji1787]
 
It's totally okay to be that way ..
Huenda ni mazoea ndo maana hupendi .

hakuna faraja kubwa kama kusikia sauti za wapendwa wetu iwe daily au mara moja .
Wengine sisi sijui tuna matatizo ya akili🀣🀣🀣🀣🀣
Imagine mtu hapigi simu wala hapokei..na anajiona sawa tu!
 
Nahisi niliona

Kama miguu na hips hivi

Sikumbuki vizuri

......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…