Si ndiyo kama mdogo wako
Saint Anne. Ukikutana naye kalivyo kakimya utasema huku JF huwa anampa mtu simu yake amuandikie zile comments.
Yaani hakaendani kabisa na haya maneno kanayoandika huku. Yaani kanapooza ukipiga naye story unaweza jikuta unaongea peke yako ila huku sasa mwee.
Though hata mimi kuna watu wananisemaga kuwa sifananii na huu uchiriku nilionao huku jf. Kwa maana nikikutanaga na watu nakuwaga mkimyaaa labda nikuzoee.