Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Sasa ni sawa na ada jamani? Hapo bado mama na mtoto hawajalipa kodi ya pango, hawajaumwa, kula, kuvaa, bata n.k?200,000 X 12 = 2,400,000/-
Ngoja nimuulize swahiba angu 9.8ms squared aseme kama Kuna nafuu au laa kwenye kulipa 2.4M[emoji23]
Ileteee ileteeeeπ€£Walewale; kwendraaa. Nitarudia kuipost baadaye ili kukata mbwembwe zako
kama kwa mwaka ndogo sana hiii.. πππ200,000 X 12 = 2,400,000/-
Ngoja nimuulize swahiba angu 9.8ms squared aseme kama Kuna nafuu au laa kwenye kulipa 2.4Mπ
kama kwa mwaka ndogo sana hiii.. [emoji4][emoji4][emoji4]
Lazima nifike Mbinguni nimechoka sana, yaani umeanza kidogo kidogo na kamilioni 2.4 baadaye utasema nikupeleke vacation visiwa vya Malverde kuja kutahamaki tayari imeshanitoka 32M πSasa ni sawa na ada janani? Hapo bado mama na mtoto hawajalipa kodi ya pango, hawajaumwa, kula, kuvaa, bata n.k?
Ileteee ileteeee[emoji1787]
Lazima nifike Mbinguni nimechoka sana, yaani umeanza kidogo kidogo na kamilioni 2.4 baadaye utasema nikupeleke vacation visiwa vya Malverde kuja kutahamaki tayari imeshanitoka 32M [emoji23]
Dj mleteeee HSπππNaileta yakushuke[emoji57][emoji57]
Tunatest mitamboDj mleteeee HS[emoji23][emoji23][emoji23]
Saivi nimekuwa mjanja kidogo, nitakuwa natunza risiti ya Kila hela nikiona imefika 5M tu najitoa faster ππAah mama Mchungaji hana hizo; kwake utapata pumziko [emoji23][emoji23][emoji23]
Swahiba acha kunichimbia shimo, 2.4M ukiiweka DSE pale kwenye hisa za Tbl Kwa Mwaka hukosi Gawio la 600,000 πkama kwa mwaka ndogo sana hiii.. πππ
Mimi kuanzia kwenye call nipo kwenye level ya hako kambwa ka real meetπ€£Tunatest mitamboView attachment 2082685
[emoji23][emoji23][emoji23] Endelea kuzitafuta nyingi nyingi bana, hata ukitoa usishtuke kabisaSaivi nimekuwa mjanja kidogo, nitakuwa natunza risiti ya Kila hela nikiona imefika 5M tu najitoa faster [emoji23][emoji23]
Mie video call zinanishinda nitajishika nywele nizivuruge weh ..Tunatest mitamboView attachment 2082685
Mimi angalau kwenye call najikuta warriorMimi kuanzia kwenye call nipo kwenye level ya hako kambwa ka real meet[emoji1787]
Mimi muoga sana yaani.Mimi angalau kwenye call najikuta warrior
Swahiba tuwapende na kuwajali.. fanya 3 M itapendeza zaidiSwahiba acha kunichimbia shimo, 2.4M ukiiweka DSE pale kwenye hisa za Tbl Kwa Mwaka hukosi Gawio la 600,000 π
Mie video call zinanishinda nitajishika nywele nizivuruge weh ..