Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Nimtoe wapi aseee.. hakuna wa kuvaa viatu vyake.. alijenga misingi kwenye maisha yangu, hakuwa tayari nishindwe popote.. alikuwa akifunga akikesha akiomba kwa ajiri yangu.. Oooh.. God. I rembember siku anakufa walienda wana maombi kumuombea apone akagoma akasema anataka kuondoka na ameisha muomba Mungu na amekubaliwa.. within 5 min akaondokaaa.. Ooops.. till leo nilipoteza Queen.. sio hao wa sasa unaishi kwa mashaka mashaka ππAMEN. Mungu ameshakupa mnyaki mwingine
Numekumbuka,nilikuwa nataka selfie yako,hata bega Tu nikiona nitaridhika mkuu
kesho nakuja gairo mchama mama Pastor kwa ajiri yako ππUongo gani tena jamani? Msingisi hapo
Pole sana kwa kupoteza kipenzi chako .Nimtoe wapi aseee.. hakuna wa kuvaa viatu vyake.. alijenga misingi kwenye maisha yangu, hakuwa tayari nishindwe popote.. alikuwa akifunga akikesha akiomba kwa ajiri yangu.. Oooh.. God. I rembember siku anakufa walienda wana maombi kumuombea apone akagoma akasema anataka kuondoka na ameisha muomba Mungu na amekubaliwa.. within 5 min akaondokaaa.. Ooops.. till leo nilipoteza Queen.. sio hao wa sasa unaishi kwa mashaka mashaka
Ushunguu sana.. hasa kuondokewa na mtu aliejemga msingi katika maisha yako.. But all ina all siwezi msahahu lakini pia ukufu kwa MunguPole sana kwa kupoteza kipenzi chako .
Uchungu wake haulezeki ..Ushunguu sana.. hasa kuondokewa na mtu aliejemga msingi katika maisha yako.. But all ina all siwezi msahahu lakini pia ukufu kwa Mungu
Nimtoe wapi aseee.. hakuna wa kuvaa viatu vyake.. alijenga misingi kwenye maisha yangu, hakuwa tayari nishindwe popote.. alikuwa akifunga akikesha akiomba kwa ajiri yangu.. Oooh.. God. I rembember siku anakufa walienda wana maombi kumuombea apone akagoma akasema anataka kuondoka na ameisha muomba Mungu na amekubaliwa.. within 5 min akaondokaaa.. Ooops.. till leo nilipoteza Queen.. sio hao wa sasa unaishi kwa mashaka mashaka
Nakumbuka kitambo sina kitu, mtoto wa watu anaingia shoping ananipendezesha yaani dah! Nipo site huko kwa wamakonde mtoto anaacha kazi zake zote anakuja kunitia moyo asee.. kuna wadada ambao ni wamama.. Nimepoa rafiki na nimezoea japo kuna siku anajaaa akili hadi napata wenge π₯Ίπ₯ΊUchungu wake haulezeki ..
Mungu ni mwema siku zote .
Kesho si ibadani Mtumishi?kesho nakuja gairo mchama mama Pastor kwa ajiri yako
Kuna watu wakiondoka pengo linabaki tu, Ningekuwa umeri umeenda huenda nisingekuja kuwa na mtu mwingine.. Ningekaza tu, sema mwili una kiraluralu kweli πͺπͺSo sorry for your loss.
Mungu atakupa mwingine, mwamini tu. Na usije ukatafuta mtu wa kuvaa viatu vyake; one can never fill another's shoes; just let her be her. Comparison kibinadamu inakuwepo ila isizidi; otherwise you will never appreciate mazuri ya huyo mwingine. Wanawake wema bado wapo wengi sana tu huko nje; endelea kumtazamia BWANA, utampata huko.
Nimecheka kama mazuri; haya mambo ya kuishi kwa mashaka mashaka daah
Eeh ibada inaisha saa saba mchana, jioni nipo hapo Gairo πππKesho si ibadani Mtumishi?
Her absence has left with you with a void which nothing in this world can fill but I pray to God that her love always stay fresh in your heart and give you all the strength to move on.Nakumbuka kitambo sina kitu, mtoto wa watu anaingia shoping ananipendezesha yaani dah! Nipo site huko kwa wamakonde mtoto anaacha kazi zake zote anakuja kunitia moyo asee.. kuna wadada ambao ni wamama.. Nimepoa rafiki na nimezoea japo kuna siku anajaaa akili hadi napata wenge
Her absence has left with you with a void which nothing in this world can fill but I pray to God that her love always stay fresh in your heart and give you all the strength to move on.
Amen.Her absence has left with you with a void which nothing in this world can fill but I pray to God that her love always stay fresh in your heart and give you all the strength to move on.
Kuna watu wakiondoka pengo linabaki tu, Ningekuwa umeri umeenda huenda nisingekuja kuwa na mtu mwingine.. Ningekaza tu, sema mwili una kiraluralu kweli
Tutapishana sasaEeh ibada inaisha saa saba mchana, jioni nipo hapo Gairo
Mwambie nimeshamtumia mwamala, kwahiyo hudaiwi kikoba Mwezi wote huu wa Januari πNakutumia account details zake fastaaaa
Mwili unazingua sana, unawasha washa ππππ... alikuwa mshauri wangu, muombaji wangu, muonaji wangu, msemaji wangu.. nilikuwa na raha.. unakuwa na mtu ambae kesho anakuambia kuna moja mbili tatu inatokea na inakuwa hivyo hivyo, akiniambia usitoke ujue kuna kitu kibaya, mtu ambae anajua mahala nilipo na maendeleo yangu na kama kuna shida mda huo hup napigiwa simu.. asee nimepoteza jembee sana. sema nakaza tu.. Tinsley Asante kwa moyo na farajaWewe ni chizi ujue, mwili una nini?
It is well.........
ππππ haya bwana weeee,Tutapishana sasa
Endelea kukaza tu mdogo angu..... Mungu ni mwema.Mwili unazingua sana, unawasha washa... alikuwa mshauri wangu, muombaji wangu, muonaji wangu, msemaji wangu.. nilikuwa na raha.. unakuwa na mtu ambae kesho anakuambia kuna moja mbili tatu inatokea na inakuwa hivyo hivyo, akiniambia usitoke ujue kuna kitu kibaya, mtu ambae anajua mahala nilipo na maendeleo yangu na kama kuna shida mda huo hup napigiwa simu.. asee nimepoteza jembee sana. sema nakaza tu.. Tinsley Asante kwa moyo na faraja