Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mungu amenihurumia, tendo hili kubwa sana,Wewe wanitosha[emoji120]
Huu wimbo[emoji91]
Huku unapata burudani safi kabisa ya gospel.. ... ubarikiwe sana!Mkuu nipo tu hapa najipa joto yaaani ππππ
Ndio yule wa SAUTI!!??
ππππ Najaribu kwenda kinyume cha maandikoHuku unapata burudani safi kabisa ya gospel.. ... ubarikiwe sana!
SAUT wapi tena jamaani.. ππππmdogo wangu huyo hizi unaweza upload utopolo hapaNdio yule wa SAUTI!!??
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Najaribu kwenda kinyume cha maandiko
Mhubiri 4:11
Tena, wawili wakilala pamoja, hapo watapata moto; lakini mmoja aliye peke yake tu awezaje kuona moto?
Mama Pastor vipi tenaaaa πππMmmmmmmmmmmmh[emoji54][emoji54][emoji54]
Si juzi ulituma ukafuta...ok ok...!SAUT wapi tena jamaani.. ππππmdogo wangu huyo hizi unaweza upload utopolo hapa
Tuachane na hilo kwanzaa umehamuka ππSi juzi ulituma ukafuta...ok ok...!
Na kweliAdhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake
Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona[emoji120]
Nipo macho ndio! Samahani nje ya mada lakini!! Wewe ni nshomile???Tuachana na hilo kwanzaa umehamuka ππ
Ndio ndio nshomile mojaaa ππππππ umelenga umejuajeNipo macho ndio! Samahani nje ya mada lakini!! Wewe ni nshomile???
Kwa sababu jana niliwekwa pekeyangu mara nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli
Maana hujalalamika kuwekwa kati[emoji1787][emoji1787]
Asanteee..[emoji1787]Kwa sababu jana niliwekwa pekeyangu mara nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hqlafu dada yangu hana madhara kuwa mwanzo[emoji38]
Ahaa Ndiomana kumbee!!! Wakule Wengi mna shida ya "H" na "A" ..niliona hilo muda kidogo. .. hivi leo ushaselfika eehh??Ndio ndio nshomile mojaaa ππππππ umelenga umejuaje
ππππ.. tayari bwana weeee.. asubuhi kabisaaa..Ahaa Ndiomana kumbee!!! Wakule Wengi mna shida ya "H" na "A" ..niliona hilo muda kidogo. .. hivi leo ushaselfika eehh??
Jambo hili lenye hurumaMungu amenihurumia, tendo hili kubwa sana,
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu!
Sasa najua hayo yote X2
Nasifu rehema zake X2
Nalistahili kupotea, lakini nahurumiwa,
Mungu amenipatanisha na yeye kwa Yesu Kristo,
Sababu hii namtumikia X2
nasifu huruma yake X2
Mungu mwenye huruma nyingi, usininyime huruma,
Naitafuta siku zote nikiulizwa na watu,
Hivi vyote vyatoka wapi? X2
Nasema ni hurumaβ¦
Hahaa... nilisahau tatizo uzeee lol!ππππ.. tayari bwana weeee.. asubuhu kabisaaa..
Mie ukikutana na mie live, pia utauliza kabila langu ππππ tena unaweza hisi labda mzigua kila mtu hunipa kabila analotaka yeye πππAhaa Ndiomana kumbee!!! Wakule Wengi mna shida ya "H" na "A" ..niliona hilo muda kidogo. .. hivi leo ushaselfika eehh??
πππ uzee wa kusahahu mzuri sanaaaaHahaa... nilisahau tatizo uzeee lol!