Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa nifanyeje kama nadekezwa
.

Imagine sasahivi nimetoka kazini nimekuta Bi mkubwa amenifulia,kanipangia vitu vizuri asbh niliacha nimevuruga..namkataza asinifulie na mlango huwa nafunga lakini wapi!
Raha sana asehh!hongera kudeka enjoy Mungu ajaalie upate mtu sahihi atakaekupenda na kukujali maana ukipata ndimu mkata shombo!utapata shida sana
 
Binamu hapo kwenye hobby the first person kunipeleka supermarket enzi hizo shoprite ni baba,mtu kwa kwanza kunipeleka Hotel ya kifahari ni mzee ananiambia chagua chakula hapo ht sijui Nile nini! mpk chozi linantoka hapa!!!
Huwa nawaambiaga watu Mara nyingi mwanaume ambae hana makandokando mengi especially uhuni ana stick sana na familia yake, na anakua vzr kwenye sekta ya kua karibu na watoto,mpk advance ananinunulia nguo za ndani!without that man nisingekua hapa nilipo Leo ht!Mungu alimuongoza sana...nna mengi ya kuongea ila amenipambania sana! Haswa my step mom alivyokua hataki kabisa Mimi nitoboe au mzee anikubali!
Kiukweli baba yangu sidhani km yupo wa kufanana nae!
 
Daah Mungu azidi kumtunza jamani.
 
❀❀❀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…