Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo hakuna nyimbo zangu,labda D knob..Kuna watu wananishangaa sn mbn wewe hauna mwonekano wa kigumu lkn ni mtu wa hip-hop sn

Nawajibu hip hop ni maisha
True that!!!πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ

I'm sure kwenye tracks zangu zote 566 lazima unazozielewa zitakuwepo za kutosha!
 
I've never really liked Fid Q...sijui kwanini. Saigon flow yake ni (au sijui ndio ilikuwa πŸ€”) imetulia sana.

Na Talib Kweli ni πŸ‘ŠπŸΎπŸ‘ŠπŸΎ all around!!!!
Alafu mbona sijamuona Mos Def???
 
I've never really liked Fid Q...sijui kwanini. Saigon flow yake ni (au sijui ndio ilikuwa [emoji848]) imetulia sana.

Na Talib Kweli ni [emoji1477][emoji1477] all around!!!!
Alafu mbona sijamuona Mos Def???
Siwezi kuwa mention wote mkuu..Saigon dah jamaa anajua sn Yule
Fid q mwonekano unamkost Kwa wadada so sijashangaa kutomkubali..Ila kichwa take imejaa madini sn

Kuna dogo anaitwa con boy [emoji91]

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
kusema ukweli huo ndo uhalisia, ila nadekeza pia na kubembeleza in return sasa mapenzi ya kiaskari jeshi mtu anakuwa kama sultan makenga, siyapendi..
Yaan napenda kubembelezwa,kudeka ukoo unalijua hill, lakini wewe,umenizidi[emoji23]

Siwezi kubembeleza,

Halafu kosa huyo Ali yen u be be leva,sahizi ungekuwa unajililia tu huko,maana hakuna angekubembeleza ubaki[emoji2440]
 
Yaan napenda kubembelezwa,kudeka ukoo unalijua hill, lakini wewe,umenizidi[emoji23]

Siwezi kubembeleza,

Halafu kosa huyo Ali yen u be be leva,sahizi ungekuwa unajililia tu huko,maana hakuna angekubembeleza ubaki[emoji2440]
haahaha eti nimekuzidi halafu usije kuniharibia hapa nikaonekana hamna kitu, si umeona mahondaw amenirudisha kiutu uzima hapa roho nyeupeee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…