Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,970
- 8,115
mimi nilikuwa mtaalamu wa pair za balaa tupu ila pair yangu bora ya muda wote ni GBPJPY na XAUUSD hiyo gold..Mie pair zangu, XAUUSD, GBPJPY, EURJPY, USDJPY, GBPUSD, EURAUD, EURNZD, GBPUSD na GBPAUD pamoja na EURUSD.. ndio nashughulika nazo zimekaa kichwani.. japo kuna mda nachezea sanaaa.. RM key ya kudumu kwenye game
Inaoneka ulikuwa mtu wa lot tembo ππππ.. hapo lazima mchoshane sana na brokermimi nilikuwa mtaalamu wa pair za balaa tupu ila pair yangu bora ya muda wote ni GBPJPY na XAUUSD hiyo gold..
ilikuwa saa nne asubuhi nmeshaingiza 900$ london ikifunguliwa..
hata wewe ni suala la muda tu utatoka huko maana hufaidi hela ya FX kwa hizo 0.0 lot size iko siku marketing masters watakunyoosha utalaani wazungu wote..Key ni RM.. ukikosana na RM fx ni lazima ikutoe mchezoni..
hapana Pendael24 sio domo zege, ila ana kuheshimu sana na ana upendo wa dhati toka uvunguni wa moyoni mwake.. hata zamani baba zetu waliwatuma baba zao kuelezea hisia zao kwa wapendao.. ni utaratibu tuu πππ
0.85 nikipungua lakini 1.0 ndo mambo yangu yalikuwa hahaaha ..Inaoneka ulikuwa mtu wa lot tembo ππππ.. hapo lazima mchoshane sana na broker
mhh kwahyo unanisagia kunguni hata mimi....shauri yake mahondaw atajuta..
Nilishatoka kwenye 0.0x mda sanaaa... nikikuonesha order zangu zote ndio utajua nipo serious na broker ππππ.. na pia naweka position kutokana na position zingine zinaensdaje kama nimefunguahata wewe ni suala la muda tu utatoka huko maana hufaidi hela ya FX kwa hizo 0.0 lot size iko siku marketing masters watakunyoosha utalaani wazungu wote..
by the way unatumia broker gani?!..
Basi lazima mpambane na broker kuna mwana wangu mmoja ana zaidi ya $ 120,000 balance ana trade sometime hadi na 0.05.. ila pair ikiwa ipo sawa anaingia na hata na zaidi ya nne.. lazima ujue lot mahala pa kutumia aseee.. mie natumia hata 0.03 ila sio kwamba mtaji unanielekeza fanya hivyo.. ila kuna kitu nakuwa najilisha0.85 nikipungua lakini 1.0 ndo mambo yangu yalikuwa hahaaha ..
em leta screenshot ya MT4 hapa na ufunue kidogo kapazia tuone kama ni real account..Nilishatoka kwenye 0.0x mda sanaaa... nikikuonesha order zangu zote ndio utajua nipo serious na broker ππππ.. na pia naweka position kutokana na position zingine zinaensdaje kama nimefungua
mkuu kunitajia $120,000 january hii unanionea..Basi lazima mpambane na broker kuna mwana wangu mmoja ana zaidi ya $ 120,000 balance ana trade sometime hadi na 0.05.. ila pair ikiwa ipo sawa anaingia na hata na zaidi ya nne.. lazima ujue lot mahala pa kutumia aseee.. mie natumia hata 0.03 ila sio kwamba mtaji unanielekeza fanya hivyo.. ila kuna kitu nakuwa najilisha
ππππ sasa mie nifanye kitu fake ili iweje mkuu.. kama huamini baki na kutokuamini.. mie uzuri sifundishi FX na leo imekuwa mala yangu ya kwanza na mwisho ku post.. na nimefanya hivyo kwa ajiri ya mwana donlucchese kama kumpa salama soko linaendaje kwakeem leta screenshot ya MT4 hapa na ufunue kidogo kapazia tuone kama ni real account..
Nimependa hizo raba. WhiteMuda wa kufukuza upepo
View attachment 2079586
πππππ.. Hii january mbona tunaiangushia sana msalaaaa πππmkuu kunitajia $120,000 january hii unanionea..
kwenye duka la Pendael24 zipo za kila design na rangi, nenda hata ukamuungishe ππNimependa hizo raba. White
Ni manini hayo lakini?πππ 9.8ms squared mpambe sana tumuuze tu walahi!mhh kwahyo unanisagia kunguni hata mimi....shauri yake mahondaw atajuta..