Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kwa wale wanaojilewa wako vizuri wengi wao.
Ila wake wanao jihesabia bora kuliko wengine wote ambao hawako kwenye makanisa yao hai ndio mtihani.
Kwa mfano mtu anasalia Siloam anamuona yoyote asiye kua Siloam ni mwenye kupotea, kadhalika na wanajiita walokole huwaona wote wasio fungamana nao wamepotea.
Hapo ndio kwenye shida na walokole na wenye kujiita wameokoka.
Nilipata wivu ukweliukweli[emoji85]
Dini ni upotoshaji wa watu weupe tu, kuna kitu walitaka kutufanya ili tukae sawa wakaona tu waseme, "mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote...na jirani yako kama NAFSI yako." Just imagine unaambiwa umpende jirani yako kama NAFSI yako...never on earth, haipo hiyo!Wapendwa moja ya eneo lililo tuletea matabaka Africa ni dini,yaani mipasuko mingi imeanzia hapo,ukiwaangalia walioleta wala hawana time nayo.
Tujikumbeshe tu kabla ya hizi dini kulikuwa na maisha yetu yanaendelea,mimi na wewe tuwe mabalozi wazuri wa kuzambaza upendo badala ya hukumu.
Dini sio kabila,unaweza kuhama na maisha yakaendelea,tujifunze kuwa na Imani ndio msingi wa mambo yote maishani.
Anne niko na mpwa wangu hapa, nataka nimpe akusalimie, jioni nitampa simu akuandikie huko piemuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo juu
Pamoja na kuona picha ila bado huaminiki🤣
Anakaribishwa mno ...PM iko wazi.Anne niko na mpwa wangu hapa, nataka nimpe akusalimie, jioni nitampa simu akuandikie huko piemuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja na kuona picha ila bado huaminiki[emoji1787]
Mungu ameweka tofauti kati ya binadamu na viumbe wengine kama ng'ombe.Dini ni upotoshaji wa watu weupe tu, kuna kitu walitaka kutufanya ili tukae sawa wakaona tu waseme, "mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote...na jirani yako kama NAFSI yako." Just imagine unaambiwa umpende jirani yako kama NAFSI yako...never on earth, haipo hiyo!
Lakini hawa mabwana wakaleta hizo mambo wakapata nafasi ya kututawala mwanzo mwisho.
The question is, binadamu akifa anaenda wapi....ng'ombe akifa anaenda wapi"?
Sasa nikupe mpwa wa kike ili mfanye nini, kubadilishana mawazo na jinsia tofauti inanoga zaidi...Anakaribishwa mno ...PM iko wazi.
Si ni wa kiume eeh?
Usidanganyike, kifo kwa mwanadamu hakina tofauti na mnyama mwingine yoyote, coz hata sisi ni wanyama tu..tumeongezewa utashi kidogo tu lakini bado elements za unyama tunazo.Mungu ameweka tofauti kati ya binadamu na viumbe wengine kama ng'ombe.
Wewe amekupa maisha mengine baada ya kifo.
☺️☺️.. . Kuna maisha ya mtu binafsi na Mungu wake - tukizungumzia MKRISTO hatuzungumzii dini, bali tunazungumzia uhusiano wa mtu binafsi na Mungu. Tunapo zungumzia Dini ni mfumo ambao mwadamu kauweka ili kutengeza chanel ya mtu au kikundi katika kufikisha elimu ya kiungu.. Dini - Earthly system katika elimu ya Mungu.. Mungu hana dini, Mungu ana uhusiano na watu wake na katika mahusiano ya mtu na Mungu, Mungu ana principal zake za uhusiano wake na watu wakeWapendwa moja ya eneo lililo tuletea matabaka Africa ni dini,yaani mipasuko mingi imeanzia hapo,ukiwaangalia walioleta wala hawana time nayo.
Tujikumbeshe tu kabla ya hizi dini kulikuwa na maisha yetu yanaendelea,mimi na wewe tuwe mabalozi wazuri wa kuzambaza upendo badala ya hukumu.
Dini sio kabila,unaweza kuhama na maisha yakaendelea,tujifunze kuwa na Imani ndio msingi wa mambo yote maishani.
Unanipiga kambaNtakuwa sisimami Stop over oooh
kwahiyo unaamini ukifa ndio basi hautafufuliwa tena na Kristo??Usidanganyike, kifo kwa mwanadamu hakina tofauti na mnyama mwingine yoyote, coz hata sisi ni wanyama tu..tumeongezewa utashi kidogo tu lakini bado elements za unyama tunazo.
Atajuta kuwa kaka yangu🤣Kazi anayo huyo kaka ako wa tumbo moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Unanipiga kamba
kwahiyo unaamini ukifa ndio basi hautafufuliwa tena na Kristo??
Ndio hapo sasa,Sasa nikupe mpwa wa kike ili mfanye nini, kubadilishana mawazo na jinsia tofauti inanoga zaidi...
🙈🙈🙈🙆🙆🙆🙆🙆Na sitosimama kweli sawasawa na uonavyo nafsini mwako[emoji57][emoji57][emoji57]