Hapa panatosha rafiki.. ukituma nashusha kitu usipotuma natuma selfie za mapori yakutosha na leo njiani nimepigaje picha za kutosha matairi ya mabasi!😜😜😜 Mabango ya njiani huko mapori kama yote 🙄😜!
Sasa je navenye nilikaa mbele kabisa kushoto dirishani weeehh
Shinyanga stand hapo bango halionekani vizuri dereva alikua fastaaa hana muda wa kuremba so ukizembea selfie unapiga hapa inatoka ya kulee