Selfika na JF: Snap it. Show it

Ofcoz mmiliki ni mmoja. Swala la wanafunzi wataenda wapi, wataenda walipokua wanaenda kabla ya Pestana.

Ofcoz ile tabia sio poa kabisa japo binafsi naamini kwa msongamano ule wa bambalaga, ukiumix na tabia za wanafunzi walio wengi panakua pahovyo flan.

Maono yalikua mazuri sana, kufanya pawe sehemu ya namna flan, ila utekelezaji ndo una maudhi.

Tulienda team kwa kaz flan, mmoja wetu alivaa kwa namna isiyoendana kidogo, ni mithili ya pensi uliyovaa wewe jana
wakati uko wimpy pale round about unapata kiepe, sasa yeye ni mwanaume (if you know you know). Na mwingine alivaa crazy jeans. Ilikua maudhi, nusu tuliingia nusu walibaki. Kwa sababu ya kufanya kilichotupeleka ilibidi watumie vitambulisho. Japo kwa kipensi kile hata mimi niliona aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…