Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Mwambie atuache kabisa last borns...tuna sehemu yetu muhimu sana nyumbani
WoyooooMwambie atuache kabisa last borns...tuna sehemu yetu muhimu sana nyumbani
Mimi sitaki kabisa aisee kuja kuwa na mwanaume last born.Mweeh usiombe sasa last born wa kiume, akaoa binti first born mmmh
Binti kuwa uyaone hawa unawahitaji “First born” ndio pasua vichwa kabisa.Mimi sitaki kabisa aisee kuja kuwa na mwanaume last born.
Kila mtu atakuwa anajiona ana haki sana..mambo yatakuwa vichomi.
1st born sitaki aisee.Binti kuwa uyaone hawa unawahitaji “First born” ndio pasua vichwa kabisa.
Niazime hilo kombora nyumaMsiogope.
View attachment 2075921
Nitakupa mualiko binafsi usihofuNiazime hilo kombora nyuma
Mimi ukiniombea tafadhali sana niombee nipate pesa
Mungu anataka niende na ratiba hiyo kwanza,,niwe stable,halafu mengine yatafuata..hakuna namna naweza kuruka ratiba.
Nilikuwa napita zangu nikasikia nasengenywaKumbe umefika
Sijui nakuja lini kukusalimia tuselfike
😂😂😂🙈🙈🙈ili utupie hapa? Utachapwa
Tuache utani
Siwezi kutupia.
Ila ukiruhusu tunatupia tu maana hakuna mamna
Ila we jamaa mchochezi sana
Wanyakyusa huwa tunabebana wote kama timu ya mpira.Nitakupa mualiko binafsi usihofu
Kuna vitu hapa roho inanisuta kwa nini sijakuja kuvileta😔Tuache utani
Njoo basi
vipi umeisha mfanyia booking ya hotel Kama tulivyokubaliana kwenye kikao cha asubuhi 😁😁😁Ila we jamaa mchochezi sana
Hahah kibali utakuwa nacho peke yakoWanyakyusa huwa tunabebana wote kama timu ya mpira.
Nitakusanya ndugu zangu wote ili hata kombora likilipuka tujiokoe🙂
Pole mbona hukuniambia unaumwa nikuombee? Hiyo roho inayokusuta acha kuisikiliza halafu pale nimehama ukijifanya kuja kimya kimya ndio utajua hujuiKuna vitu hapa roho inanisuta kwa nini sijakuja kuvileta
Sema December ilikuwa na pilika nyingi sana vihoma vya hapa na pale.
Japo hainihusu..... ila nimependa sana huu ushauri wako dada acha niuhifadhi....Nimecheka. Ila if you bag yourself a good man now.....(uning'ate sikio)
Yeah huu ni muda wako wa ku-add value kwenye maisha yako. Una ndoto, maono na matamanio yako; ndiyo muda wenyewe sasa. Kesho ukishakuwa na familia; ulichokifanya na kukijenga leo ndiyo kitakuja kukusaidia huko mbeleni. Unaweza ukaja kulazimika kuacha kazi/biashara, kwa sababu ya familia. Ongea thamani kwenye maisha yako sasa...
Above all; ukishaolewa, mnaanza kuishi maono ya mume sio ya kwako tena. Atalitimiza kusudi lake, huku wewe ukiwa msaidizi wake mkuu. Mchungaji wangu alikuwa anatusisitiza sana tupambane angali tukiwa mabinti; kuna muda ukiwa na watoto hata muda wa kuomba vizuri huupati. Hata kuombea watoto wako, waombee kuanzia leo kabla hata hawajaja. Akiba yake itakusaidia sisi utakapopigwa na hata hiyo nguvu ya kumuombea huyo mtoto ukaikosa.
Alikuwa anatuambia. Kuna aina 3 za wanawake waliofanikiwa
1. Ambao hawajaolewa
2. Walioachika/kufiwa.
3. Waliofanikiwa kabla hawajaolewa
To be continued.....
Well saidNimecheka. Ila if you bag yourself a good man now.....(uning'ate sikio)