Niliweka order nikaweka maneno yangu halafu sikwenda kukichukua dah [emoji17] .Nikipita nitatafuta aisee
Jitahidi tu upunguze kuendesha watu maana tabia ikikomaa itakuja kukusumbua baadae.katika maisha ya mahusiano.Dah yaani umenichekesha,,jana mama na dada wanaingia chumbani kwangu,wakaingia haraka haraka wakafunga mlango..nikaanza kucheka.
Dada akawa anacheka huku anasema yaani hadi chumbani tunaingia kwa hesabu tushajituneπmaana tunajua tukiacha mlango wazi hapa mbu wakaingia mambo yatakuwa si mamboπ€£mziki wanguπ€£π
Eti kitoto kidogo cha juzi unataka kutuendesha watu wazimaπ€£π€£π€£
Achana Na huyo Carlos.Jamani jamani.. unamjua carlos jambazi wa kwenye movie ndio tunaendana nae.. nakuchekea huku nakuchinjaaa πππππ
Natunza huu mwandikoNgoja kesho kutwa kama hivi yaaninπππ
NimeitunzaNgoja kesho kutwa kama hivi yaaninπππ
Natunza huu mwandiko
Weee usiniambieTunajua kupenda na kudekezaaa πππ
Ndio nakutafutia Dr hapa πππ.. mgonjwa gani mtataaaAchana Na huyo Carlos.
Tunazungumzia habari ya ugonjwa wangu
Huyo HM ndo nani jamaniSema HM mpole sana yaani hadi namuogopa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jitahidi tu upunguze kuendesha watu maana tabia ikikomaa itakuja kukusumbua baadae.katika maisha ya mahusiano.
[emoji1787][emoji1787]ni shida
Ngoja na mie niweke reminder πππNimeitunzaView attachment 2075693
Uliyetunza mwandiko wakeHuyo HM ndo nani jamani
Ananiamini binti yakedaddy yako asijue π§π§π§
πππ ukideka dekezwaaa.. wasikutishe, wanakuonea wivu tuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala siendeshi watu[emoji23]..ila huwezi amini kuna mtu alitaka kuniendesha.
Nyumbani huwa wanapenda kunitania.
Mkuu nipe location aseeUliyetunza mwandiko wake
Eheee naona unaleta mambo ya machinjano hapaπ€£π€£Ndio nakutafutia Dr hapa πππ.. mgonjwa gani mtataaa
Kuna vile vinavyokuwa na maneno tayari.Niliweka order nikaweka maneno yangu halafu sikwenda kukichukua dah [emoji17] .
Fanya chap tu hakuna namnaNgoja na mie niweke reminder πππ
BahiMkuu nipe location asee
Kumbe unafuatilia kimya kimya eeππΏππΏππΏUliyetunza mwandiko wake