Selfika na JF: Snap it. Show it

Hallelujah...

Nimejikuta nabubujikwa Na furaha isiyo Na kifani.siku yangu imeanza vizuri kabisa.πŸ™πŸ™naona kama nachelewa kuja kula samaki.

Mungu aendelee kukutunza Daddy SYB
 
Amen. Jambo la kushukuru Mungu, na ni furaha kwetu kuona afya ina imarika na kuwa na umoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…