Sipendi siasa wala kujibishana Na mtu Na ndio maana hunikuti nikisema chochote unaweza kujua sipitiagi hayo majukwaa ee😁😁nayapitia Kwa ukaribu mkubwa mno lakini kimya kimya nikiguswa sana nitalike tu.
Ubishi kama wa
Saint Anne aise sijawahi kubarikiwa nao😀😀