Kule sirudi tena ila akiongea ujinga nampa kubwa😂hahaah si unajifanya umekunywa maji ya bendera we nshakwambia kitambo tuendelee na mjadala wetu kuhusu touareg na vibaby walker mambo ya siasa yatakuzeesha huskii..
Heheheheeheheheehehe haki nimenyanyua mikono. Anne umeliona wapi tumbo langu??????Wakati yeye ana katumbo kadogo kiuno kimejikata hicho na hapo tayari ana watoto.
Wenzangu na mimi bado hatujazaa ila matumbo yashamwagika..mazoezi muhimu,tukatae vitambi.
Tuliona ma manzi wa agano jipya waefeso😂Shemela mbona mie sijaona😅
Nini tena shemela?Shemela mbona mie sijaona[emoji28]
We endelea tu na appointment zako za kumdaka mtu juu juu halafu baadaye uanze kumlaumu [emoji849][emoji849]Najua kabisaaa.. haiwezekani uwe naulivore [emoji16][emoji16][emoji16].. naenda pumzika sasa.. kesho tuwepo mahala pengine.. naona haujafika dodoma hadi sahii na mna V8... ama Makiwendo kanifanyia jambo
Sio hio photoo😅 yako ukiwa galilayaNini tena shemela?
Mweeh usikaamini hakoWatu na miili yao jamani , mtu unazaa hadi unazaa bado upo na flat hivyo .
Yaani nikiwaza hichi kitambi nacheka maana kila namna navyo jitahidi kitoke wapi
Hivi niliona peke yangu eeh zile picha??Heheheheeheheheehehe haki nimenyanyua mikono. Anne umeliona wapi tumbo langu??????
Hahahahhaaaahh watu wana majibu jamani daahTuendelee kuupiga mwingi wakereketwa.
Sema siasani kunachekesha...
Kama jana Rais amesema vijana watafute fursa,,mmoja akasema kma vipi watukusanye tusio na ajira watuuze nchi za nje kama mbolea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha picha hazikuwa mbili kwaniHuyo mtoto ni mpana jamani, mtu nimepost tu miguu, yeye eti ameona hadi tumbo khaaa
Kitambi cha uji😅Wakati yeye ana katumbo kadogo kiuno kimejikata hicho na hapo tayari ana watoto.
Wenzangu na mimi bado hatujazaa ila matumbo yashamwagika..mazoezi muhimu,tukatae vitambi.
KabisaWatu na miili yao jamani , mtu unazaa hadi unazaa bado upo na flat hivyo .
Yaani nikiwaza hichi kitambi nacheka maana kila namna navyo jitahidi kitoke wapi
Kwa kweli ni hatari mabinti kuwa na matumbo ya waheshimiwa.Kitambi cha uji😅
hahaha matokeo yake siku mbili hatuoni avatar..Kule sirudi tena ila akiongea ujinga nampa kubwa😂
Hahahaa itarudiwaaaaaSio hio photoo[emoji28] yako ukiwa galilaya
Ntumie pm basi shemela mi nawewe bana tumetoka mbali toka Magu hajaingia madarakani😅 mpaka kafarikiHahahaa itarudiwaaaaa
Hiyohiyo moja. Niliipost mara ya kwanza, ikawa na mushkeli so nikaifuta, afu nikaipost vizuri sasa.Hahaha picha hazikuwa mbili kwani
Uliupata ule wimbo ?
Suburi nikutafutie[emoji41]we kimbia tu ukisahau ntakukumbusha tena..
kweli!? awe kama yule wa kule kwa siku ile..Suburi nikutafutie[emoji41]