Selfika na JF: Snap it. Show it

Uwiii !!!



Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama


Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.


Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
 
Pole sana mkuu
 
Pole Shimba...
It shall be well IJN.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, pona upesi
 
Hizo tangawizi na limao bila kumenya ingeziblend pamoja ungeweka na asali ..upate mchanganyiko mzito kama mtori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…