Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaanza kuhitimisha mapema namna hii?

Subiri atokee halafu utajua mimi na Karma nani sound nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! sema dom pamewaka sana.. plus vijana waliokuja piga interview ya takukuru pamewaka kishenziii.. hapapoi wala hapaboi.. Ni shangwe nimeweka 50/50.. asipo. tokea nitajua umenichania mkeka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah! sema dom pamewaka sana.. plus vijana waliokuja piga interview ya takukuru pamewaka kishenziii.. hapapoi wala hapaboi.. Ni shangwe nimeweka 50/50.. asipo. tokea nitajua umenichania mkeka [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mkeka hauwezi kuchanika..niamini..

Karma siyo mtu wa sound kabisa[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipotokea nitajua umemfundisha sound, maana Karma hana kabisa tabia za kurusha mutu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha ha...Kwamba ni mimi tena nimemfundisha sound jamani?

Ni kweli Karma hana hizo mambo...huyu hata kundi la wala nauli hayupo[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha...Kwamba ni mimi tena nimemfundisha sound jamani?

Ni kweli Karma hana hizo mambo...huyu hata kundi la wala nauli hayupo[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😬😁 mtu anatembea V8 aanze kula nauli ya mtu wa paso utakuwa uhainu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…