Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Unafikiri ambao age imekata tunasema? Tupo tunapambana na vinguo na viskuna na kina Anne.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haaaa... mie age imekata sanaaa.. huenda nimekuacha mbali sana.. sema. tu mwili wangu haujawai niacha salama.. umeisha stuck [emoji23][emoji23]
Hata kwa dadako nipe nikupe kweli??? Mungu wangu!!ππNa wewe fanya kampango sasa... πππππ.. nipe nikupe
πππππ.. JamaniHata kwa dadako nipe nikupe kweli??? Mungu wangu!!ππ
jamani jamanii.. usifanye hivyo πππNatagiwa baada ya kuombwa kutagiwa.
Nishakasirika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri najua kuzicharanga step vizuri sana
Muwe na Usiku mwema wapendwa!πΆπΆπΆπΆπ΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄πππππ.. Jamani
Unaniachaje mahondaw π’π’π’π’Muwe na Usiku mwema wapendwa!πΆπΆπΆπΆπ΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
Muwe na Usiku mwema wapendwa![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Kuna wimbo huu unaitwa huyu Mungu ni baba .Ngoja niweke Emanuel hapa kwanza. Ninyooshe viungoView attachment 2071261
time to pray... fellowship na Holy One.. to abide..... sweet Jesus... Elohim..Ngoja niweke Emanuel hapa kwanza. Ninyooshe viungoView attachment 2071261
Fanya namna basii usinifanyie hivyo ππππ nimekesha ujue kwa ajiri yakoπ€£π€£π€£π€£π€£! Unanichekesha hukuu! π€£π€£π Nina usingizi sana!
Sitakijamani jamanii.. usifanye hivyo [emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niweke Emanuel hapa kwanza. Ninyooshe viungoView attachment 2071261
Fanya namna basii usinifanyie hivyo ππππ nimekesha ujue kwa ajiri yako
Mi naupenda tu kule mwanzo.Kuna wimbo huu unaitwa huyu Mungu ni baba .
Nimekesha hapa hajui tu πππmahondaw em muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio
Kuna wimbo huu unaitwa huyu Mungu ni baba .
Malengo muhimu kutimiza.. siwezi kujivunjia ahadi najitunza jamani π¬π¬π¬Goals don't forget your goals ππ€£!