Selfika na JF: Snap it. Show it

Aah nimekusikia vyema mule
 
Msija, mkimaliza ku-worship nitakuwa nawaburudisha na sifa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁 Ukiona mtu ni worshper ni angelic huyo, kwasababu malaika huwa hawasifu bali huabudu.. nina somo deep sana nilisoma miaka ya 70 huko siku nikiamka vizuri ni copy and paste but we have to balance Sifa - Men.. Worship Angelic
 
[emoji16][emoji16] Ukiona mtu ni worshper ni angelic huyo, kwasababu malaika huwa hawasifu bali huabudu.. nina somo deep sana nilisoma miaka ya 70 huko siku nikiamka vizuri ni copy and paste but we have to balance Sifa - Men.. Worship Angelic
Teh paa una mwembwe jamani. Ulikisoma miaka ya 70?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnavyopenda ukubwa sasa. Ngoja mfike age zetu
😁😁😁😁 haaaa... mie age imekata sanaaa.. huenda nimekuacha mbali sana.. sema. tu mwili wangu haujawai niacha salama.. umeisha stuck πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…