Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hii imekuwa riziki; nimeiwahi kabisa. Ahsante sanaitakuwa sio riziki maana nimeweka na nimefuta tena [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
π¬π¬π¬ Unatumia JF gani ambayo haijafuta.. cheee.. Paa mwenye upaaaa wakeHii imekuwa riziki; nimeiwahi kabisa. Ahsante sana
Kwa hiyo; hiyo ndiyo sauti ya paa mwenye upaa?[emoji23][emoji23]
Wow...Ya 06:00 shekilango
[emoji51][emoji51][emoji51] Unatumia JF gani ambayo haijafuta.. cheee.. Paa mwenye upaaaa wake
apambane na hali yakeπ€£π€£π€£π€£π€£ Mkuu utamtoa roho Pendael24 jioni hii kashavurugwa vyakutosha !!
Aisee una sauti nzuri sana .[emoji51][emoji51][emoji51] Unatumia JF gani ambayo haijafuta.. cheee.. Paa mwenye upaaaa wake
acha niingie studio eeh.. na mpendwa mwenzangu Saint Anne .. tutoe kitu πππAisee una sauti nzuri sana .
Hakika una kipaji cha uimbaji .
Pendael24 kijana wa hovyo ana utani nawewe π€£π€£π€£π€£!!ππππapambane na hali yake
View attachment 2071215
Kumuimbia bwana ndio maisha yangu.. na ndio pumzi yangu...Hizi attachments nyingi; hadi niingie kwa browser ndiyo nazi-access. Umeifuta wakati mimi tayari naisikiliza
Sijui mimi nakwama wapi kwenye kuimba jamani; ngoja nibakie tu kuwa dancer... Very powerful voice daah. Ahsante.
Kesho naenda kwa ajiri ya hili hili jambo πππππ.. dom kama dom.. imezizimaPendael24 kijana wa hovyo ana utani nawewe π€£π€£π€£π€£!!ππππ
Nenda tu studio rafikiacha niingie studio eeh.. na mpendwa mwenzangu Saint Anne .. tutoe kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
acha niingie studio eeh.. na mpendwa mwenzangu Saint Anne .. tutoe kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hio ndio habari kuu ya nchi! Saivi Ukigeuka ndugai ukilala ndugai! Msisahau kuselfika tu!Kesho naenda kwa ajiri ya hili hili jambo πππππ.. dom kama dom.. imezizima
Kumuimbia bwana ndio maisha yangu.. na ndio pumzi yangu...
View attachment 2071218
Umegoma kuweka kapicha π¬π¬Hio ndio habari kuu ya nchi! Saivi Ukigeuka ndugai ukilala ndugai! Msisahau kuselfika tu!
πππ Good things 9.8ms squared ni worshiper ( emotion - songs ).. we bow down, we bow before your throne, we worship you King of the kings.. as..... 4 living creatures worship you in heaven,....... we worship you...... hii ukinikuta kwenye mood.. ππππππ niEeh nilitaka nikwambie muungane na Saint Anne. Mimi nitakuwa dancer wenu kama ni wimbo wa kuchezeka[emoji38][emoji38]
π€£π€£π€£π€£π€£! πΆπΆUmegoma kuweka kapicha π¬π¬
Unaninyanyasaaaaaaaaaaaaa ππππππππππππππ na picha π’π’π’π’π’π€£π€£π€£π€£π€£! πΆπΆ
Mimi ni worshipper.Eeh nilitaka nikwambie muungane na Saint Anne. Mimi nitakuwa dancer wenu kama ni wimbo wa kuchezeka[emoji38][emoji38]
Hahahaaa.... Leo twapata neno la mungu.... Neno la uzima!Unaninyanyasaaaaaaaaaaaaa ππππππππππππππ na picha π’π’π’π’π’