☺️☺️☺️ nyakati kama hizi zinaokoa sanaaa.. ukizipuliza vizuri unarudi zako home unalalaaa zako, ukishtuka zimeisha unakamata ndogo ndogo unazimua hadi upate solution
Ni procyclic trypomastigote wakitoka kwenye gut,, kwenda kwenye salivary gland and multiply and wakifik wanabdilika kuwa metacyclic trypomastigote na ukipigwa bite na mbung'o basi unapata malale