Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwezi mbona kiduchu, mnafanya hata exercise miezi mitatu hadi sita hivi kwa mwaka hata mala. mbili inatosha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚japo sie mabingwa tunamaliza mwaka
 
Mwezi mbona kiduchu, mnafanya hata exercise miezi mitatu hadi sita hivi kwa mwaka hata mala. mbili inatosha
japo sie mabingwa tunamaliza mwaka
Wee hebu niwache, muda wote huo nigundue nn? Mie naye tuko ktk mahusiano ya kuzagamuana, sasa tunakaa mwaka hatuzagamuani itokee nn?

Mie mwanaume asiyependa sex simtaki, heri aninyime pesa zake ila sio kojoleo lake wee hapo tutabebana
 
hiv nyie kwani KY. ina tatzo gan? Au matumizi yake kikawaida ni yapi? Wahuni wahuni watuwataki.
KY kazi yake ni virainishi, kwa watu walio wakavu, pia inatumika nyakati za upasuaji.. sasa yeye ana ukavu gani au ni dr hadi akae nayo ndani ghetoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wahuni tutadumu milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…