Weee nilinenepa mpaka nikajiogopa nilikua naelekea 80 kgs mwanamke hapana hapana!! Nguo zote zakuongeza niliongeza mpka mwisho zisizoongezeka niligawa mweh!! Saivi nimepungua sana nanguo zinanitosha fresh sema kakitambi fulani ndo hakataki kuondoka!!Unataka umbo la chicken chicks? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah kijana wa hovyo unaweza ukafanya mambo ya hovyo mwaka bado mpya huu!😅 Hebu tuuache usogee!Mzee usinitoe mchezoni 😂😂😂😂😂 sishawishiki hata kidogo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣leo nimpa block boss kwa mala ya kwanzaa napataje raha hapa 😂😂😂
yaani dah! Leo ndio kwanza siku ya nne 😂😂😂😂 nina safari ndefu sanaHahahahahah kijana wa hovyo unaweza ukafanya mambo ya hovyo mwaka bado mpya huu!😅 Hebu tuuache usogee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usnambie? Waambie hao watu wako wapunguze u hovyo hovyo, mie cna hamu kabisa kule.Mie ndio kiongozi wao sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Huo unene ndio sukari yetu wajuba usijipunguze sana shauli lako😅 Wema anajutia maamuzi yake kila anavyopumua now😅Weee nilinenepa mpaka nikajiogopa nilikua naelekea 80 kgs mwanamke hapana hapana!! Nguo zote zakuongeza niliongeza mpka mwisho zisizoongezeka niligawa mweh!! Saivi nimepungua sana nanguo zinanitosha fresh sema kakitambi fulani ndo hakataki kuondoka!!
Ndio kazi yetu, tunapunguzaje.. mnataka tule njaaaa 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usnambie? Waambie hao watu wako wapunguze u hovyo hovyo, mie cna hamu kabisa kule.
Waoohhh! Hapo ukizishevu zibakie ndogo za kuchoma choma na kutekenya zinapendeza sana!Umeona huyu kijana wa hovyo hovyo alivyo mpuuzi eeh 😂😂😂View attachment 2068201
😊😊😊😊 mtekenyo kwenye kitovu eeeh kha! ivi nimekuaje mie aseee 😆😆 shwaaa kama nyoka mdogo mdogoWaoohhh! Hapo ukizishevu zibakie ndogo za kuchoma choma na kutekenya zinapendeza sana!
Jamani hebu nipumzishe kwani, mbna naona uvumilivu Unataka kunishinda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntajikuta nafanya tofauti na malengo yangu. UwiiiiiihUmeona huyu kijana wa hovyo hovyo alivyo mpuuzi eeh [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2068201
Kwa zile kilo hata nikitembea kidogo nilikua nasweaaaattttt dah! Kupungua sana kama wema hapana hao macelebrity mambo yao tuwaachie wenyewe haha!Huo unene ndio sukari yetu wajuba usijipunguze sana shauli lako😅 Wema anajutia maamuzi yake kila anavyopumua now😅
😂😂😂😂 na wewe una malengo ya kumaliza 2022 bila bilaJamani hebu nipumzishe kwani, mbna naona uvumilivu Unataka kunishinda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntajikuta nafanya tofauti na malengo yangu. Uwiiiiiih
Wee una malengo kijana nae ana malengo weuweeeeee!🤸🚶🚶🚶🚶Jamani hebu nipumzishe kwani, mbna naona uvumilivu Unataka kunishinda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntajikuta nafanya tofauti na malengo yangu. Uwiiiiiih
HutoboiNdugu yangu, hali. ilivyo unaiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitatoboa nikiwa hoi sana
Afadhari bhana uwe kipotable kuhus kakitambi kaache ka kufutia I4n [emoji102]3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee nilinenepa mpaka nikajiogopa nilikua naelekea 80 kgs mwanamke hapana hapana!! Nguo zote zakuongeza niliongeza mpka mwisho zisizoongezeka niligawa mweh!! Saivi nimepungua sana nanguo zinanitosha fresh sema kakitambi fulani ndo hakataki kuondoka!!
Unene sana sio shoo!!Unataka umbo la chicken chicks? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mie sioni dalili naona hali ni mbaya.. sanaa😂😂😂Hutoboi
Nakwambia
Kananiharibia shape haha🤣🤣🤣🤣🤭🤭!! Japo sio sanaAfadhari bhana uwe kipotable kuhus kakitambi kaache ka kufutia I4n [emoji102]3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wema alikata utumbo yule, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo unene ndio sukari yetu wajuba usijipunguze sana shauli lako[emoji28] Wema anajutia maamuzi yake kila anavyopumua now[emoji28]