Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,672
Mwenyewe inawezekana au ad niwasiliane na mods?Inawezekana lakini kwa mbinde.
Mwenyewe inawezekana au ad niwasiliane na mods?Inawezekana lakini kwa mbinde.
Si anataka aninyime uhondoMbona ya jana ilitoka vizuri
Hahahaaa....Ntakukimbilia, fanya hvyo basi
Inawezekana nini??Mwenyewe inawezekana au ad niwasiliane na mods?
Nahitaji kubadilisha jina sasa sijui kama inawezekana au la?Inawezekana nini??
Mbona eti mods wamerahisisha sikuhizi hata wewe mwenyewe ukitaka unabadili mbona!Msaada wakuu, nahitaji nichange Id name yangu sijui inawezekana?
Labda ila kuna kipind cha nyuma nilisumbuka kweli bila mafanikioMbona eti mods wamerahisisha sikuhizi hata wewe mwenyewe ukitaka unabadili mbona!
Jaribu Saivi uone!Labda ila kuna kipind cha nyuma nilisumbuka kweli bila mafanikio
Lemme try!Mbona ya jana ilitoka vizuri
Ok shukrani ntafanya hivyo usisahau picha hata piemuTumia browser... Nenda kwenye akaunti yako... Then click account details..itakuja hivi
Then utaendelea hapo ila ukishabadili kubadili tena hadi mwezi mmoja..View attachment 2067032

We are waitingLemme try!
DoneWe are waiting

Haaah Unataka nini jamani si Nimeselfika jamani!!Sio mkono![]()
Beautiful but we need your faceDone![]()
Weeeeeeeehhhh.. jana nilituma si uliiona jamani!Beautiful but we need your face


Kwenye mkono kuna lips?Haaah Unataka nini jamani si Nimeselfika jamani!!
Kwenye mkono kuna lips?