Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnaanza mwaka mpya na kuchelewa kuona picha full ya HS mliyomuomba kwa miaka yoote mitatu.
Nimepambana mpaka nimeipata dah! Ila jitihada nilizotumia mpaka kuipata picha hii ningekuwa nazitumia kwenye kusaka pesa hata Elon Musk ningemzidi.

Mama Mchungaji yuko vizuri mno. Ngoja niishie hapa nisije nikaharibu tu. This year gonna be good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…