Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nifanyeje ili kuipata picha yako Mtumishi? Imenipita [emoji24][emoji15][emoji15][emoji15]
Kuna watu wanaanza kupitwa mapema namna hii tar 1 hii hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawaendi na kasi ya mwaka.
Hata bila ng'ombe unachukua mradi mkubaliane tu, ila ndio kwa sasa ukae mbali miaka 30 itakuhusu. Wasukuma ( SYB ) ndio rangi zinawatatiza sana, na wewe wa kanda ya Ziwa mkuu?Mkuu niozesha kuna mahali hapa Ng’ombe 50 [emoji1488]
Wakati picha utadhani kabinti ka 25 yrs.Wazee si unatuona, kupiga tu picha ni wito
Kusema kweli hiyo rangi ya mtume kwetu ni changamoto sana. Siku nikija huko uliko sijui itakuwaje.Hata bila ng'ombe unachukua mradi mkubaliane tu, ila ndio kwa sasa ukae mbali miaka 30 itakuhusu. Wasukuma ( SYB ) ndio rangi zinawatatiza sana, na wewe wa kanda ya Ziwa mkuu?
View attachment 2065522
Hata bila ng'ombe unachukua mradi mkubaliane tu, ila ndio kwa sasa ukae mbali miaka 30 itakuhusu. Wasukuma ( SYB ) ndio rangi zinawatatiza sana, na wewe wa kanda ya Ziwa mkuu?
View attachment 2065522
Sass ukafanyaje[emoji23]Nina pongezi za dhati kwa wanao/walio panda Mt. Kilimanjaro[emoji23]
Nimepanda ka mlima kadogo tu ndani ya hifadhi ya saa 8 ilibaki kidogo nikate moto wakati wa kurudi [emoji23]
Mimi ninani hata nikugomee! On my way mkuu nakuja fastaaa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nilikaaa chini na kula mpoozo kidogo 😂Sass ukafanyaje[emoji23]
Wakati picha utadhani kabinti ka 25 yrs.
Nje kuna mbwa mkaliii kaniambia I can't conversate with you!Ukifika tu kuna mbuzi inakusubili bosslady…
Ndiyo.Mmmh 25?????
Mwananchi...