Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah mkuu hiki chakula umenitamanisha sn asee
Unakula msosi huku unajenga nguvu za kiume

Haaa haaa dah we jamaa umewaza vingi sana, ndio chakula changu kikuu toka nije hapa (sea food) na hakika imenisaidia sana mpaka kuweka mwili sawa kwa kupunguza mafuta.
Wali nazi,ugali dona na mboga samaki Kuba dili aina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…