Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
😂Mwambie ex akupe kitu kinachoweza kufananishwa na pombe
Nitampa juice embe kila siku
😂Mwambie ex akupe kitu kinachoweza kufananishwa na pombe
Acha ukorofi
Wapi huko![]()
Mie mkuu bado hata kimoja, mwaka huu nataka nijitunze. sitaki kufanya kitu 😂😂😂
Yaani jana pale pahala ilikuwa balaaSidhani kama unakosa aseeee

tayari 😂😂😂 umeingia mwaka na tukioYaani jana pale pahala ilikuwa balaa![]()
Nilikuwa mpenzi mtazamajitayariumeingia mwaka na tukio

Mwaka wangu msafi hauna doa.. 😂😂😂😂.. sahii nimerudi home nimejifungia baada ya kuona majaribu ya mlimani city yanakuwa makubwaaaNilikuwa mpenzi mtazamaji![]()
😁😁😁😁 Kijana mwenye upaaa wakeDaah kijana mwema; emu fanya picha irudiwe kwa heshima ya mama Mchungaji. Unajua Mtumishi wa Mungu akikuomba umfanyie kitu; it's a privilege to you eeh![]()
Nikajua upo caskMwaka wangu msafi hauna doa.... sahii nimerudi home nimejifungia baada ya kuona majaribu ya mlimani city yanakuwa makubwaaa

Kitu kingine bana
Nitampa juice embe kila siku
Aah! Mahesabu yamegoma.. nime miss Marry wa the cask na kipenzi changu Antonia 😁😁Nikajua upo cask
![]()
Wacha bhasAah! Mahesabu yamegoma.. nime miss Marry wa the cask na kipenzi changu Antonia![]()

Nitampa juice embe kila siku
Sema mwezi wa pili nahamia kabisa mwanza 😂😂😂..Wacha bhas
Nitapita siku moja![]()
Nadhani ndio kipindi cha kayaboSema mwezi wa pili nahamia kabisa mwanza..

Ankali upo?😅😅😅Heri ya mwaka mpya!Ankali
aseee... safi sana.. Napapenda sana mwanza kuliko Dar es Salaama.. mwanza kuna wadada wazuri sana alafu sio janja kama hawa wenu dar es salaam, wana adabu hao.. 😂😂😂Nadhani ndio kipindi cha kayabo
Kupeleka bukavu
Tutabanana huko huko![]()