Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Oct 9, 2019 #13,061 Karma said: Yaani wanaume sijui mnatuchukuliaje wanawake aise Click to expand... Mwenyewe dada nimeshangaa sana!
Karma said: Yaani wanaume sijui mnatuchukuliaje wanawake aise Click to expand... Mwenyewe dada nimeshangaa sana!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Oct 9, 2019 #13,062 kurlzawa said: sisi waga tupo mapacha sasa mwenzangu hapendagi kabisa amani Click to expand... kwakweli pacha wako hatabiriki kabisa. . anachange anytime hata kama mlikua mnacheka na kufurahi Cc Smart911
kurlzawa said: sisi waga tupo mapacha sasa mwenzangu hapendagi kabisa amani Click to expand... kwakweli pacha wako hatabiriki kabisa. . anachange anytime hata kama mlikua mnacheka na kufurahi Cc Smart911
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Oct 9, 2019 #13,063 mahondaw said: kwakweli pacha wako hatabiriki kabisa. . anachange anytime hata kama mlikua mnacheka na kufurahi Cc Smart911 Click to expand... hapana sio kwako nmeshamuonya tayari asaivi anaheshimu
mahondaw said: kwakweli pacha wako hatabiriki kabisa. . anachange anytime hata kama mlikua mnacheka na kufurahi Cc Smart911 Click to expand... hapana sio kwako nmeshamuonya tayari asaivi anaheshimu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Oct 9, 2019 #13,064 Pacha hatabiriki atii Cc Smart911 kurlzawa said: hapana sio kwako nmeshamuonya tayari asaivi anaheshimu Click to expand...
Pacha hatabiriki atii Cc Smart911 kurlzawa said: hapana sio kwako nmeshamuonya tayari asaivi anaheshimu Click to expand...
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Oct 9, 2019 #13,065 sumbai said: Naaaam Good morningView attachment 1226509 Click to expand... Pole sana mana naamini huli mzigo masiku haya
sumbai said: Naaaam Good morningView attachment 1226509 Click to expand... Pole sana mana naamini huli mzigo masiku haya
Tripp JF-Expert Member Joined Feb 2, 2018 Posts 912 Reaction score 1,572 Oct 9, 2019 #13,066 kurlzawa said: sasa unalilia nywele mkuu kwanza ni chafu nimeonapo ukoko kabisa kichwani Click to expand... Sijaongea na wewe mwanaume kudandia maneno vipi au +
kurlzawa said: sasa unalilia nywele mkuu kwanza ni chafu nimeonapo ukoko kabisa kichwani Click to expand... Sijaongea na wewe mwanaume kudandia maneno vipi au +
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Oct 9, 2019 #13,067 Meeyah said: ..View attachment 1227018 Click to expand... Wewe hupigwi busu ukalegea. ndomana reply zako hazitoki mbali
Meeyah said: ..View attachment 1227018 Click to expand... Wewe hupigwi busu ukalegea. ndomana reply zako hazitoki mbali
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,963 Reaction score 831,504 Oct 9, 2019 Thread starter #13,068 Depal said: Morning too Jr Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 9, 2019 #13,069 Hazard CFC said: Hahaha sasa hyo picha hapo kapiga mwanaume au mwanamke? Click to expand... Wewe unajua kapewa shs ngapi huyo??
Hazard CFC said: Hahaha sasa hyo picha hapo kapiga mwanaume au mwanamke? Click to expand... Wewe unajua kapewa shs ngapi huyo??
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Oct 9, 2019 #13,070 Hazard CFC said: Hahaha sasa hyo picha hapo kapiga mwanaume au mwanamke? Click to expand... Anapata tabu sana na anavyo vitetea vinamsuta mwenyewe.
Hazard CFC said: Hahaha sasa hyo picha hapo kapiga mwanaume au mwanamke? Click to expand... Anapata tabu sana na anavyo vitetea vinamsuta mwenyewe.
madam cute Member Joined Feb 19, 2019 Posts 99 Reaction score 220 Oct 9, 2019 #13,071 KingY said: Shokamoo mwalimu madam cute Click to expand... Marhaba mwanafunzi hujambo ?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 9, 2019 #13,072 Sakayo said: Mwenyewe dada nimeshangaa sana! Click to expand... Yani daah
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Oct 9, 2019 #13,073 Karma said: Yani daah Click to expand... Mie huwa nawaangalia tuu!
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,814 Reaction score 15,558 Oct 9, 2019 #13,074 Karma said: Yani daah Click to expand... Nyie ni maua mkichanua sie tunaburudika
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Oct 9, 2019 #13,075 Haijalishi lakin kikubwa kapiga..tena huenda kapiga free tu Karma said: Wewe unajua kapewa shs ngapi huyo?? Click to expand...
Haijalishi lakin kikubwa kapiga..tena huenda kapiga free tu Karma said: Wewe unajua kapewa shs ngapi huyo?? Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 9, 2019 #13,076 Sakayo said: Mie huwa nawaangalia tuu! Click to expand... Kumbe ndiyo maana huwa hauongei chochote?? Basi mie nikajua unakaa kimya sababu huwa unayasapoti haya mafurushi!!lakini pia hata kukaa kimya nako ni busara usiwe mbishi kama dada yako hapamaana kubishana na mafurushi nako yataka moyo mkubwa kama wa nyangumi
Sakayo said: Mie huwa nawaangalia tuu! Click to expand... Kumbe ndiyo maana huwa hauongei chochote?? Basi mie nikajua unakaa kimya sababu huwa unayasapoti haya mafurushi!!lakini pia hata kukaa kimya nako ni busara usiwe mbishi kama dada yako hapamaana kubishana na mafurushi nako yataka moyo mkubwa kama wa nyangumi
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Oct 9, 2019 #13,077 Halafu mbona ni yakawaida tu hyo Karma said: Wewe unajua kapewa shs ngapi huyo?? Click to expand...
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Oct 9, 2019 #13,078 Hakikaa Manga ML said: Nyie ni maua mkichanua sie tunaburudika Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 9, 2019 #13,079 Manga ML said: Nyie ni maua mkichanua sie tunaburudika Click to expand... Uwe unasikiliza maneno ya wanaume wenzio mitaani na mitandaoni ndiyo utajua kama sisi ni maua au miiba
Manga ML said: Nyie ni maua mkichanua sie tunaburudika Click to expand... Uwe unasikiliza maneno ya wanaume wenzio mitaani na mitandaoni ndiyo utajua kama sisi ni maua au miiba
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Oct 9, 2019 #13,080 Hazard CFC said: Halafu mbona ni yakawaida tu hyo Click to expand... Siyo ya kawaida, hiyo ni tafsiri ya kwamba mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume.
Hazard CFC said: Halafu mbona ni yakawaida tu hyo Click to expand... Siyo ya kawaida, hiyo ni tafsiri ya kwamba mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume.