Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,901 mahondaw said: Hahah! Uwe online huwa ntatupia sana mbona! Click to expand... Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabda
mahondaw said: Hahah! Uwe online huwa ntatupia sana mbona! Click to expand... Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabda
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 1, 2022 #130,902 Lee said: Umeadimika changu li Click to expand... Mambo yaliingiliana kidogo lee Changu. Unaendeleaje lkni..habari ya mwaka mpya..
Lee said: Umeadimika changu li Click to expand... Mambo yaliingiliana kidogo lee Changu. Unaendeleaje lkni..habari ya mwaka mpya..
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Jan 1, 2022 #130,903 Pendael24 said: Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabda Click to expand... Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!!
Pendael24 said: Mtihani huo, kwa hio niwe online 24hrs kutoka sasa kabda Click to expand... Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!!
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jan 1, 2022 #130,904 Chakorii said: Mambo yaliingiliana kidogo lee Changu. Unaendeleaje lkni..habari ya mwaka mpya.. Click to expand... Mwaka nimeuanza vizuri nisiwe muongo
Chakorii said: Mambo yaliingiliana kidogo lee Changu. Unaendeleaje lkni..habari ya mwaka mpya.. Click to expand... Mwaka nimeuanza vizuri nisiwe muongo
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,905 mahondaw said: Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!! Click to expand... Ndio hivyo ukichungulia unakutwa imefutwa!
mahondaw said: Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!! Click to expand... Ndio hivyo ukichungulia unakutwa imefutwa!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 1, 2022 #130,906 Lee said: Mwaka nimeuanza vizuri nisiwe muongo Click to expand... Ashukuriwe Mungu wa mbinguni Kwa hilo
Lee said: Mwaka nimeuanza vizuri nisiwe muongo Click to expand... Ashukuriwe Mungu wa mbinguni Kwa hilo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Jan 1, 2022 #130,907 Pendael24 said: Ndio hivyo ukichungulia unakutwa imefutwa! Click to expand... Haha ..huwa inakaa muda mrefu sana ndio nafuta!
Pendael24 said: Ndio hivyo ukichungulia unakutwa imefutwa! Click to expand... Haha ..huwa inakaa muda mrefu sana ndio nafuta!
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,908 mahondaw said: Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!! Click to expand... Niko jf mwaka wa nane sasa sijawahi kulala njaa kwa sababu yake!
mahondaw said: Hahaha hapana uwe unachungulia chungulia bana ushinde humu 24/7 ule nini!!! Click to expand... Niko jf mwaka wa nane sasa sijawahi kulala njaa kwa sababu yake!
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Jan 1, 2022 #130,909 Aisee! Hii picha niliichora 2011
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,910 mahondaw said: Haha ..huwa inakaa muda mrefu sana ndio nafuta! Click to expand... Mbona kama vile wengi wetu hatujiamini tunafuta eti
mahondaw said: Haha ..huwa inakaa muda mrefu sana ndio nafuta! Click to expand... Mbona kama vile wengi wetu hatujiamini tunafuta eti
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Jan 1, 2022 #130,911 Pendael24 said: Niko jf mwaka wa nane sasa sijawahi kulala njaa kwa sababu yake! Click to expand... Haha I meant muda mwingi ukikaa tu humu utashindwa kufanya shughuli nyingine mida mida uwe unaingia sio kushinda mazima!
Pendael24 said: Niko jf mwaka wa nane sasa sijawahi kulala njaa kwa sababu yake! Click to expand... Haha I meant muda mwingi ukikaa tu humu utashindwa kufanya shughuli nyingine mida mida uwe unaingia sio kushinda mazima!
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,912 Emiir said: View attachment 2064992 Aisee! Hii picha niliichora 2011 Click to expand... Mkuu unachora picha za malipo labda
Emiir said: View attachment 2064992 Aisee! Hii picha niliichora 2011 Click to expand... Mkuu unachora picha za malipo labda
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,323 Jan 1, 2022 #130,913 Pendael24 said: Mbona kama vile wengi wetu hatujiamini tunafuta eti Click to expand... Tatizo sio kutojiamini tatizo usalama! Jf kichaka huwezi jua!
Pendael24 said: Mbona kama vile wengi wetu hatujiamini tunafuta eti Click to expand... Tatizo sio kutojiamini tatizo usalama! Jf kichaka huwezi jua!
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Jan 1, 2022 #130,914 Emiir said: View attachment 2064992 Aisee! Hii picha niliichora 2011 Click to expand... Inataka kufanana na hii
Emiir said: View attachment 2064992 Aisee! Hii picha niliichora 2011 Click to expand... Inataka kufanana na hii
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,915 mahondaw said: Tatizo sio kutojiamini tatizo usalama! Jf kichaka huwezi jua! Click to expand... Sidhani, kwa inocent hapaswi kuogopa!
mahondaw said: Tatizo sio kutojiamini tatizo usalama! Jf kichaka huwezi jua! Click to expand... Sidhani, kwa inocent hapaswi kuogopa!
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Jan 1, 2022 #130,916 Pendael24 said: Mkuu unachora picha za malipo labda Click to expand... Nilikuwa nachora tu kujifurahisha!
Pendael24 said: Mkuu unachora picha za malipo labda Click to expand... Nilikuwa nachora tu kujifurahisha!
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 26,047 Reaction score 137,257 Jan 1, 2022 #130,917 Emiir said: One day nitakununulia kreti nzima then mi nikuangalie ukiwa unazinywa! Click to expand... Yaani hapo utafanya nikupende milele daima wallah
Emiir said: One day nitakununulia kreti nzima then mi nikuangalie ukiwa unazinywa! Click to expand... Yaani hapo utafanya nikupende milele daima wallah
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Jan 1, 2022 #130,918 mawardat said: Yaani hapo utafanya nikupende milele daima wallah Click to expand... Kumbe hunipendi wakati tumeagizwa kupendana?! Ukija Dar nitafute!!
mawardat said: Yaani hapo utafanya nikupende milele daima wallah Click to expand... Kumbe hunipendi wakati tumeagizwa kupendana?! Ukija Dar nitafute!!
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 1, 2022 #130,919 Emiir said: Nilikuwa nachora tu kujifurahisha! Click to expand... Nilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aisee
Emiir said: Nilikuwa nachora tu kujifurahisha! Click to expand... Nilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aisee
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,364 Jan 1, 2022 #130,920 Pendael24 said: Nilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aisee Click to expand... Ahsante kipindi nipo shule nilikuwa mchoraji kinara...kadri siku zinavyokwenda mkono unakuwa mzito sahv...tatizo umri.
Pendael24 said: Nilikua nataka unichoree moja hivi, lakini hongera bro imejaliwa kipaji sio kila mtu ana kipaji aisee Click to expand... Ahsante kipindi nipo shule nilikuwa mchoraji kinara...kadri siku zinavyokwenda mkono unakuwa mzito sahv...tatizo umri.