Selfika na JF: Snap it. Show it

Oya vipi kijana wangu ( chawa wangu), umepata wapi kibali cha kuchati na warembo kama hao?



Nakusalimia damu yangu, kheri ya mwaka mpya boss
Hahahaha

Hao warembo ni wetu/wangu nimeumbiwa mkuu

Mimi niko poa/salama kabisa

Heri ya mwaka mpya ni njema/salama kabisa

Habari za asubuhi mkuu
 

Useful indeed!!
 
🤣🤣🤣
Slam dunk tulishazeeka, sasa ni 3 three pointer... check this clip...
nilikuwekea full clip ya ile picha kama ulioona jana ilikuwa "razzle dazzle" sio mchezo....

View attachment 2064610
Owwwwkey....owwwkey!!😮😮
"Kuzeeka" or not...you still got it!🙌🏾🙌🏾

I hope my 2020'too will be as sharp as your ball-throwing skills!☺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…