Selfika na JF: Snap it. Show it


Papa ngoshaaaa, kwa kweli tunaumaliza mwaka. Ukauone wema wa Mungu, na mkono wake usikupungukie. Ndaga fijo
 
Woyooooo hatimaye leo umeselfika. Heaven Sent umebaki wewe tu sasa wa kututumia picha walau ya kufungia huu mwaka jamani hebu tuonee huruma wenzio tunaokuomba tangu mwaka juzi.


Shimba Ya Buyenze Mungu akubariki sana rafiki. Yu a gojazi na hata hauendani na ule umri unaotudanganyaga humu ila tu sasa ndiyo nimeelewa kwanini wewe na mayutong ni kama mchaga na mbege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…