Selfika na JF: Snap it. Show it

Hawanaga [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
😂
Kuna jirani yetu mmoja ni dereva wa hayo magari,ana mke wake na hawajabahatika kupata mtoto tangu tumewajua 2012.
Jamaa yuko happy tu kwake na haonyeshi kunyongo chochote ila hakaliki kwake.
Si ajabu ana michepuko huko nje na ana watoto wengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…