Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Hata mimi aisee. Nimekumbuka solo kali ya Dalii Kimoko na Diblo Dibala. Nikataka hata kuulizia nikaona nikaushe tu. Fani za watu! [emoji16][emoji16]Kweli kila mtu na sekta yake hapo ulipozungumzia solo ikanijia taswira ya gitaa
Kweli kila mtu na sekta yake hapo ulipozungumzia solo ikanijia taswira ya gitaa
AkhaaNi miguu yako my ex?
innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Pole sana mawardatinnalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Ni vile MUNGU angekuwa anatoa hata dk 2 tu,basi ningesema naye BABA[emoji24][emoji120]
Ahsante sana binamu!!kuna mmoja hapo nilikua nausaka mmeupata!
Pole sana!innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Aisee pole sana. Mungu awe mfariji wako mkuu[emoji120]innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتكinnalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Mjukuu nini tena jamani? Umepotea hapa tukawa tunataniana kumbe uko katika hekaheka nzito namna hii?innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Daah jamani poleni sana dear [emoji22][emoji22]innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Msiba unauma sana haswaa wa mtu wa karibu!yaani jamani haya Maputo acha tuu!Daah jamani poleni sana dear [emoji22][emoji22]
Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hichi kigumu [emoji120][emoji120]
Ameen....Mungu ampe kauli thabeet!..اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناته
Hahaaa!hongera Mimi bado kujichinja kwa soloo!hua nashona vipenseli tu mpk chini...viwili vinatoka au nashona na wasichana wangu wawili baasi!Yaani nikitaka solo najitoa tu kafara na pisi 3 au 2 kwa solo fupi. Otherwise nabaki na shift zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
My condolences sister [emoji120][emoji120]innalillah_____wainaillah____ rajihun___ my FATHER[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji120]
Mpendwa; solo ni nini?Hahaaa!hongera Mimi bado kujichinja kwa soloo!hua nashona vipenseli tu mpk chini...viwili vinatoka au nashona na wasichana wangu wawili baasi!
Nkiwaza pande 3!!!nguo moja wee[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
hivi wewe rayva.... ni muislamu kumbe!?..Ameen....Mungu ampe kauli thabeet!