Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ndizi bila nyama ya kutosha hazinogi. Mkija na maparachichi aisee itakuwa poa mno. Sikukuu njema Mama Mchungaji [emoji1545][emoji1545]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2057498
Mi mwenyewe kanikimbia!!Mjukuu wangu yuko wapi? Hapatikani kila sehemu yaani. Ole wako! [emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23][emoji120]Marahabaaaa mara 70 mjukuu.
Happy holidays [emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo mengine wacha tu yakupite mdogo angu, especially ikiwa hayakuongezei chochote cha msingi, na wala hupotezi chochote usipoyafanya. Njoo tujaze nzi na Fanta[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120]100% possible...!!! Wala usishawishike!simlaumu na simhukumu anaekunywa maana kila mtu na starehe yake...!!!
Msimamo wako tu!!komaa tu
Kwa kweli sipati picha ndo umejipigilia K-Vant umewaka na huo ubishi dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningekuwa nakunywa nadhani ningekuwa ndani polisi sasahivi kwa vurugu.
Wanasema wanapenda sura za kibabeπHaya mambo ya Selfie yanahitaji confidence na Reception nzuri pia ambayo ni attractive
Wenye Reception za kina Masoud sura mbaya na Remmy ongala tutakuwa observer kama us kwenye World war
Nipo bosslady ,niko poa hopefully ulirudi salamaππππ Umepoa sana bosi.. wish to know whats wrong!!
Yeah nilirudi salama mapema tu halafu sema ulininunia mpaka nikaogopa!!Nipo bosslady ,niko poa hopefully ulirudi salama
Sinaga hizo tabia , wewe tu na mawazo yakoYeah nilirudi salama mapema tu halafu sema ulininunia mpaka nikaogopa!!