Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hahahaha acha uoga
Nimeweka kuwe reply yako nikafuta kabla hujatoa jibu.
Nimeweka kuwe reply yako nikafuta kabla hujatoa jibu.
Hahahaha usijali.Naazima saa.
Ukisikia uchawi basi ndo huu, aliyekusudiwa kuiona hajaiona na asiyekusudiwa kaiona.Hahahaha usijali.
Ukisikia uchawi basi ndo huu, aliyekusudiwa kuiona hajaiona na asiyekusudiwa kaiona.
Hapana tunakosea kitu kimoja rahisi sana ... Love is giving... Love is sharing... We must give before we think of receiving.... Trust n forgiveness....
Mapenzi ni sanaa ni lazima uifahamu sanaa ya mapenzi The artof love
...
Hudate wala kuoa supermarket... Huwezi kupata kila kitu... Mapenzi ni sawa na nyumba tupu... Inategemea unataka uijaze nini... Ni muhimu sana
Every body has footprints... Nani hana background... So mnapokutana mnapeana muda... 3months hivi... Muda wa kushake the old version so that you can install new one... Mnasomana tabia kila mtu ana mapungufu nobody is perfect... Then you all choose the middle way n 50/50 win lose... Mtaishi kwa amani na furaha mpaka dunia ishangae
Ngoja tuone.Hahaha najua ataweka tena
Hapana, sababu sometimes we can't use old solutions to solve new problems..!!Hutaki wapite tuliko pita sisi?



sharuk khan sio
Wenye mapenz yenu wengine tunayaangalia kwenye tamthilia tu
sharuk khan sio
Hujataka tu kuona babyPost #670.View attachment 1226590
Naona daftari kwa mbalii...bila shaka wewe ni mwalimu

usiseme kwa sauti sasa.Naona umeulalia mkuyenge
Unapenda sana mteremko we jamaaMimi ni Handsome boy nisiye na matunzo. Naomba kama kuna mdada atakaependa kunitunza namkaribisha PM,
View attachment 1226683
Pia yeyote atakaependa kuiona hii picha yangu full, karibu PM![]()
Huna maziwa basi una manyonyo.Ipost niione nafikiri naipotezeaga sababu ya bei au unaongelea unprocessed.😂😂😂😂 mi sina maziwa
Tumia Africafe ile ya box ndio naionaga nzuri kweli
Heeeh! Si umeona post namba 670 inahusu nini?Hujataka tu kuona baby
Sio unprocessed, ni brand ya hao Africafe ila yenyewe iko mixed na maziwa kama sio chocolate.Huna maziwa basi una manyonyo.Ipost niione nafikiri naipotezeaga sababu ya bei au unaongelea unprocessed.
Jitupie basiHatimaye ile kasi ya 5G imefikia ukomo