Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti Ewaaaa! Kazi kusifia wenzio tu we za kwako hutaki kuweka hata moja watu wakakata kiu. Watu wamefanya kila njia mpaka wengine wameapa kuondoka JF jumla ukiselfika lakini wapi. Unavyotufanyia siyo vizuri Mama Mchungaji
Khaa jamani Mtumishi. Wewe relax tu; mimi mwenyewe sura na shape ya ki-wife material kabisa, sina maajabu
 
Wow! that was so so... 😍😍
Happy holidays mtoto mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…