Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
[emoji8]Hakika u mzuri, ee mpenzi wangu,
Hakika u mzuri!
Macho yako ni kama ya hua!
Siku niliyozidiwa nilikaza buti kuchat humu ,nikasema tuone[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Aisee
Ungenambia nikaja kukuuguzaSiku niliyozidiwa nilikaza buti kuchat humu ,nikasema tuone[emoji23]
Kichwa kinazunguka wee lakini wapi.
Mwili unakuwa kama nimetandikwa ngumi na bondia Mwakinyo.
Bado hujachelewa😂😂😂Ungenambia nikaja kukuuguza
Tubarikini na picha sasaAm glad u r ok Lil Boo 😘😘
Umepona bana kwa sasa nachoweza kufanya ni kukununulia matunda ule utengeneze kinga.Bado hujachelewa😂😂😂
Beautiful nails Sis.
Ukija tunaanza kuuguzana upya😂Umepona bana kwa sasa nachoweza kufanya ni kukununulia matunda ule utengeneze kinga.
🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️Tubarikini na picha sasa
Nasubiri picha yako kwa nguvu zote🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️
Kuna Mganda niliwahi kumpelekea hii zawadi akanywa sijui nini kilitokea sauti ikakata alimaliza karibu wiki anaongea kwa ishara😀😀
Andaa sasa ugonjwa ila yasiwe mafua baada ya mwaka mpya nije kukuuguza😀😀Ukija tunaanza kuuguzana upya😂
Last born hashindwi kudeka.
Nataka nimeze azuma sasa.Andaa sasa ugonjwa ila yasiwe mafua baada ya mwaka mpya nije kukuuguza😀😀
Wee hapana kwa kweli nimezoea vya kuchemsha km makaba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijisikii kula chochote zaidi ya chipsi kavu.
Njaa ulivyonizidia nikaona nipike.
Nitakufundisha zege[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi kupaliwa, sijui hata mnawazaga nn yaan.Ok.Ni mrembo sn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nlivokua nabisha sasa khaah. Saiv ntakua mpole, kwakweli niliaibikaHahaaa haya mambo siyo ya kubishia kama huna uhakika mdogo wangu utaaibika mbele za watu [emoji28][emoji28]
Sasa wee Dr unaumwaje tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asee mambo yalikuwa magumu sn kwangu.Nashukuru naendelea vizuri.
Jf ilikuwa nachungulia Tu Kwa vile nimezoea