Selfika na JF: Snap it. Show it

Ungeitest tu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km angekua na chupa nisingebisha mbna.
Hebu post kwan hiyo Amarulah nione plz.

Duuh kuna pombe za kila jina, ntakuja niambiwe kuna pombe ya jina langu ntabaki kushangaa kumbe kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaan, hapa nakumbka siku ile jinsi alivokua ashabadilika usoni kutaka kulia, nacheka km chizi

Pombe zingine majina ya watu, zingine majina ya nyimbo za wasanii bas tafrani tupu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wallah mommah hebu nipitishe ktk store za vinywaji, nisiabike siku nyingne, najua yule mtu lazima ananiona mshamba tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…