Hii thread imenifanya nijue raia za JF zinaonekanaje,atleast inakufanya uone upo mtandao wenye binadamu.
Japo katika ID 10 nilizokua nikidhani ni Pisi kali za kwenda nimeangukiaa PUA na namshukuru Mungu sikuwahigi hata zipaparikia[emoji23]
Sema JF imejaaa wadada wa kawaida munoooo zile sura za kuweka ndani kama (WIFE) ndio zimejazana..
Sura za kutembea kulia bata zinahesabika walahi tena yakupasa uwe na darubini kuzipata pisi kali..
Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.
Gentlemen jiongezeni wadada wa humu wako na sura personal Mno, its safe to marry them let us Work out ktk hili.. Tupambanie hili Guys.
Amechelewesha majibuAhaa asante kwa feedback mamy!View attachment 2054186
Haha.. uzuri amekumbuka bosi amefanya vizuri kunijulisha.Siku zote hizo tushamaliza na kumaliza
Hahahaa!!Amechelewesha majibu
Yani kuna vitu vinachekesha sana best[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa hadi tumbo linauma mie.
Comando johnGood morning!!View attachment 2053064
Poleni wafiwa kwa kumpoteza mwanajeshirest in peace......[emoji27][emoji27][emoji27]View attachment 2054243
dah, dunian wawili wawili, jamaa tumefanana kinoma
mmmhrest in peace......[emoji27][emoji27][emoji27]View attachment 2054243
rest in peace......[emoji27][emoji27][emoji27]View attachment 2054243
Haha si ni camera tu my dear [emoji1][emoji1]Una sura nzuri mrembo. Nipunguzie kidogo
IPTL.....I see kweli iko vizuri, though natamani ningejua pia mahali ulipo kwa Dar ili niweze kufanya uwiano maana niliambiwa airtel inategemea na zone uliyopo.
Senkyu [emoji2956][emoji2956]una macho mazuri
Duuh poleni shida ilikuwa nini [emoji3064][emoji3064]rest in peace......[emoji27][emoji27][emoji27]View attachment 2054243
Oohh siyo mbaya ngoja nijaribu [emoji846][emoji846]IPTL.....
hata namjua?? ..nimeona tuu watu wamempost kaniuma mzuri hivi anakufaje[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Jamanii poleni sana
Kalumbu nimeona insta huko anapostiwa hata shida sijui....Duuh poleni shida ilikuwa nini [emoji3064][emoji3064]
Khaa kalumbu si tunajua unaomboleza msiba kumbe una yako [emoji3][emoji3]hata namjua?? ..nimeona tuu watu wamempost kaniuma mzuri hivi anakufaje[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]