Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahahahhahaha
 
Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.
 
 
[emoji116] Nimevikuta sehemu ...Kazi yake ninini haswa?? Sijaelewa maelezo yake Aseeh [emoji15]View attachment 2053785
Naona sijui misuli iliyosinyaa [emoji16][emoji16][emoji16]

Yote kwa yote kama kuna mtu umemnunulia hakikisha kwanza anacheki afya ya moyo wake vinginevyo mtaishia kuimba [emoji443][emoji445]Parapanda italia parapanda[emoji445][emoji443] [emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…