Mimi ninazo 951 toka uzi umeanza,nina za Mzigua 6,Cadey 5,Anne,3,Lizzy 20,Shunie 18 ,Paula Paul 70,Depal 11 na kuna mmoja kila nikitaka kuzisave zinapotea sijui mchawi.
Ofcourse cards is one of my favourite games. Aahh dogo anatisha sana yaani hapo tutaendana kabisa.
Mie napenda sana watoto wa kiume, halafu awe mtundu kwenye masuala ya simu, computer, magari, sports and the likes. Yaani huwa nakuwa proud kichizi naweza hata mnunulia vya kwake ili asipate taabu nikienda kazini.
Sasa kuna siku niliona ulisema sijui dogo aliwahi hack system gani sijui shuleni kwao. Nikajisemea tu i wish he was my lil bro maana siyo kwa ugenius huo at that age na vile kwetu hakuna mtoto wa kiume wote tumezaliwa wa kike dooh.
Yaani mtoto wa hivyo nakuwa namlea na kuishi naye kama mshikaji na siyo kama mtoto maana naona yes huyu tunaweza tukakaa pamoja tukaongea vitu vingi. Kongole nyingi my dear for raising such an intelligent young man.