Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio nimesikia kwamba mnasonga ugali mdogo kwanza mkila ndio mnapata nguvu ya kusonga ugali mkubwa mle mshibe 🤣🤣
Wee tucheke endelea kula hayo madude ila mafuta yakikujaa yakaziba mishipa ya kiuno na kule somewhere ukaanza kupiga Za mchangani utakoma.
Fact.
Hayo mafuta ndio kaburi lenu watu wa dar..ndio yanafanya mbugie kila mzizi mtakaoambiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…