Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha dogo kweli ana miguu mizuri, ila sisi wengine tunavaa basi tu kwa vile hatupendi kubanwa kote kote mapajani na miguuni, japo tuna miguu ya ajabu hatari [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Watu wanavyokuwaga sensitive nayo...I'm sure ya aunt inaruhusu πŸ™‚

Joggers pants je?? They can be pretty comfy πŸ€—
 
Panaboa kweli 😬😬😬😬

Basi kama ni hivyo bora u-stick to one that works. Although....you could just get one and try it out. Alafu download VPN pia...nyingine zinasaidia kuongeza speed kidogo.
 
Panaboa kweli [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]

Basi kama ni hivyo bora u-stick to one that works. Although....you could just get one and try it out. Alafu download VPN pia...nyingine zinasaidia kuongeza speed kidogo.
Yes hapo kwenye vpn umenipa wazo zuri. Ngoja nitajaribu tu maana kila nikikuna kichwa nichague wapi kati ya TTCL Tigo au Airtel wazo linaniambia nijaribu Airtel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…