Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata mimi.
Japo upande wa pm iko vizuri kuzidi app.
Kwa pm iko vyed kabisa

Kuna kipindi app ilizingua upande wangu nikaomba msaada kwa Max akanielekeza kudowlod hiyo jf mpya kwa browser mweeh nilivo na kichwa kizito nikabaki kuona maruwe ruwe

Nikafanikiwa kudowlod hatimae, ila kwenye kuitumia sasa..... Cha

Nikaona tabu yote yanini nikajipoteza jf


Ila nashkuru now app imerejea fresh ile browser natumia mara chache sana hasa kwenye kujibia pm
 
Yaani siku hizi story zimekuwa nyingi kweli kwenye huu uzi, mimi ndiyo maana siku hizi huwa sisomi comments nascroll na kulike picha tu then natambaa.

Daah wengi walio karibu yangu wanalalamika kuwa airtel vifurushi viko vizuri ila mtandao ndiyo shida, ndiyo maana bado nakosa imani ya kuingia huko rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…