Yaani shoga yangu huwezi amini comments zote hizi hakuna hata mmoja aliyenitumia screenshot ya hivyo vifurushi, kitu ambacho nilikuwa nakihitaji sana! Thank you for your concern Lizzy, na je vipi kuhusu Speed yake ya mtandao?
Tatizo story nyingi...hata selfie za machale π₯΄π₯΄
Mtandao nadhani inategemea sana na eneo. Mie yangu huwa inashika fresh haswa nikiwa home...nilishawahi kutupia speed yangu huwa inashoot mpaka 2Mbs sometimes nikiwa nadownload! So jaribu kuuliza watu waliopo karibu yako....wasipolalamika get yourself one!!!!!!